Je Tawi lako limesheshirikije katika TMI?

TUCASA ROYAL wakifanya Usafi wa mazingira katika zahanati ya Mbande
TUCASA ROYAL wakifanya Usafi wa mazingira katika zahanati ya Mbande
COTC Mtwara wakifanya usafi katika Hospital ya mkoa moja kati ya matendo ya huruma katika jamii

Pichani ni TUCASA ROYAL baada ya kumalizakusafisha  mazingira katika zahanati ya Mbande

Pichani ni WanaTIA wakiwa katika kituo cha watoto yatima (salvation arm) kilichopo Mbagala
TUCASA tawi la TIA wakiendelea na huduma
TUCASA tawi la  NIT wamefungua kituo cha kurusha mahubiri live yanayo endeklea kutoka MWENGE SDA.

Share on Google Plus

About TUCASA SEC BLOG

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment