Ni mibaraka ya pekee wana na binti za Mungu Kanda ya SODAZO walizo pokea siku ya Jumamosi ya tarehe 18/ Nov/2017 katika ibada ya pamoja ya kwanza kufanyika katika mwaka mpya wa masomo 2017/18, Ibada hii ilifanyika katika ukumbi wa chuo cha utabibu Kibaha COHAS mkoani Pwani






Share on Google Plus

About TUCASA SEC BLOG

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment